• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

BUNGE LAPITISHA BAJETI YA OFISI YA RAIS-TAMISEMI TRILIONI 9.1 OR - TAMISEMI

Posted on: April 19th, 2023


Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limepitisha  bajeti ya Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Tume ya Utumishi wa Waalimu, Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa mwaka wa Fedha 2023/2024 shilingi Trilioni  9.1

Akitoa maelezo  kuhusu hoja za wabunge zilizojitokeza  wakati wa kujadili hotuba ya Bajeti ya Ofisi ya Rais –TAMISEMI,  Waziri Kairuki amesema katika kipindi cha mwaka 2021/2022 hadi 2022/23 Serikali iliidhinisha  kiasi cha shilingi bilioni 280.35 kwa ajili ya ukamilishaji wa maboma ya vyumba vya madarasa 8,252 maabara 2,745, mabwalo 86, mabweni 433, vituo vya afya 52 na zahanati 1,419 ambavyo utekelezaji wake kwa kiasi kikubwa umekamilika.

Waziri Kairuki  ameendelea kufafanua kuwa  katika mwaka wa fedha wa 2023/24 Serikali imetenga  jumla ya Shilingi bilioni 20.56 kwa ajili ukamilishaji wa maboma ya zahanati 376, mabweni 10 na bwalo 1  ambapo Serikali inaendelea  kufanya tathimini ya mahitaji halisi ya maboma ambayo hayajakamilishwa na  yale yanayoendelea kujengwa ili kuyawekea mpango wa kuyakamilisha ili kutoa huduma bora kwa wananchi.

Katika Sekta ya Afya nchini Waziri Kairuki amesema katika Mwaka wa Fedha wa 2023/24 Serikali imetenga Shilingi Bilioni 116.92 kwa ajili ya ununuzi wa vifaa na vifaa tiba lakini pia Serikali itaendelea kununua vifaa, vifaa tiba, dawa na vitendanishi kwa ajili ya hospitali, vituo vya afya na zahanati kwa kadri ya upatikanaji wa fedha.

Aidha, amesema Ofisi ya Rais – TAMISEMI kwa kushirikiana na Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari zitahakikisha maeneo yenye changamoto ya mtandao yanafikiwa ikiwa ni pamoja na kuendelea kuboresha mifumo iliyopo kama mfumo wa MUSE kwa usimamizi na matumizi ya fedha za Umma, TAUSI kwa ukusanyaji na usimamizi wa mapato, PlanRep kwa Mipango na Bajeti na utoaji wa taarifa za Halmashauri na pia mfumo wa FFARS katika matumizi na kuhasibu fedha kwenye vituo vya kutolea huduma lakini pia kuendelea kutoa mafunzo kwa watumishi wote wa Ofisi ya Rais –TAMISEMI.

Matangazo

  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KIBAHA TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • TANGAZO LA MNADA WA NG'OMBE KWA WAFANYA BIASHARA WA NYAMA NA NG'OMBE ,MTAA WA MTAKUJA KATA YA PANGANI, UNAOFANYIKA KILA ALHAMISI. March 13, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUND VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • KIBAHA MANISPAA YANG'ARA UKUSANYAJI WA MAPATO

    April 30, 2025
  • DKT.SHEMWELEKWA ATETA NA WAMILIKI WA VITUO VYA MAFUTA KIBAHA Na.Byarugaba Innocent, Kibaha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Dkt.Rogers Jacob Shemwelekwa amekutana na Wamiliki na Wafanyabiashara ya mafuta kuwakumbusha kuwa wazalendo kwa Taifa,kufa

    November 22, 2024
  • DKT.SHEMWELEKWA ATETA NA WAMILIKI WA VITUO VYA MAFUTA KIBAHA Na.Byarugaba Innocent, Kibaha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Dkt.Rogers Jacob Shemwelekwa amekutana na Wamiliki na Wafanyabiashara ya mafuta kuwakumbusha kuwa wazalendo kwa Taifa,kufa

    November 22, 2024
  • MHE.NDOMBA AZINDUA GARI MPYA AINA YA LANDCRUSER ILIYONUNULIWA KWA MAPATO YA NDANI

    November 21, 2024
  • Tazama Zote

Video

Mh. Waziri Mkuu akiwa ziarani Kibaha
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa