• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

COAST MARATHON KUFANYIKA NOV 30

Posted on: November 13th, 2024

COAST CITY MARATHONI YAZINDULIWA KWA KISHINDO KIBAHA


Na Byarugaba Innocent, Kibaha


Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Mbio za Coast City Marathon Msimu wa tatu (3), maalum kwa ajili ya kuchangia uboreshaji wa Miundombinu ya Elimu kwenye shule ya Msingi Pangani Dkt. Frank Mhambwa amezindua rasmi mbio hizo leo ambapo hafla ya Uzinduzi imefanyika kwenye Ukumbi wa Halmashauri ya Mji Kibaha.


Mbio hizo zenye jina la Coast City Marathon zinalenga pia kupambana na magonjwa yasiyo ya kuambukizwa, kuibua vipaji vya wanariadha pamoja na kuimarisha Utamaduni wa Jamii kuchangia shughuli za Maendeleo.


Mkuu wa Idara ya Elimu Awali na Msingi ndiye aliyekuwa Mgeni Maalum akimwakilisha Mkurugenzi wa Mji Kibaha Dkt. Rogers Jacob Shemwelekwa amefurahishwa na Maandalizi hayo pamoja na malengo yake kwani yanakwenda kuunga Mkono Juhudi za serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan za uwekezaji kwenye Sekta za Elimu na afya za watu hususan kwenye mapambano dhidi ya maradhi yasiyoambukiza.


Afisa Michezo wa Halmashauri ya Mji Kibaha amebainisha kuwa kutakuwa na mbio za Kilomita 2.5 mahusus kwa Watoto, Kilomita 5 za Veterani na watu wenye umri mkubwa na Kilomita 10 na 21 zitakuwa kwa ajili ya wakimbiaji wazoefu, ambapo zawadi zitatolewa kwa mshindi wa 1-3


Dkt. Mhambwa amewashukuru wadhamini wote kwa kufanikisha mbio hizo ambazo zitaanzia na kuishia kwenye bustani ya Michezo iliyopo Mailimoja.


Coast City Marathon Mwaka 2023 ilihusisha wakimbiaji zaidi ya 500, hivyo, Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi Dkt. Frank Mhambwa ametoa rai kwa wote wenye afya njema kushiriki kwa kuchangia Tshs. 35,000/= 




Matangazo

  • INEC yahimiza Wananchi mikoa 16 kujitokeza uboreshaji Daftari awamu ya pili May 14, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUND VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 02, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -MSAIDIZI KUMBUKUMBU II October 06, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • HUDUMA ZA KIBINGWA ZA UPASUAJI ZAANZA HOSPITALI YA LULANZI

    May 27, 2025
  • MWENYEKITI WA TUME HURU YA TAIFA YA UCHUGUZI , Mhe. JAJI WA RUFAA JACOBS MWAMBEGELE LEO MEI 14,2025 AMETEMBELEA NA KUZUNGUMZA NA WASHIRIKI WA MAFUNZO YA UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA.

    May 14, 2025
  • ZOEZI LA MABORESHO YA DAFTARI LA WAPIGA KURA KUANZA MEI 16 KIBAHA TC

    May 09, 2025
  • KIBAHA MANISPAA YANG'ARA UKUSANYAJI WA MAPATO

    April 30, 2025
  • Tazama Zote

Video

Mh. Waziri Mkuu akiwa ziarani Kibaha
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa