• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Halmashauri ya Manispaa Kibaha Inatoa Mafunzo ya Uchaguzi Kwa wasimamizi Uchaguzi Ngazi ya Kata.

Posted on: August 4th, 2025


Kibaha, 4 Agosti 2025 – Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha imeanza rasmi mafunzo ya siku tatu kwa wasimamizi wasaidizi wa uchaguzi ngazi ya kata katika Jimbo la Kibaha Mjini, ikiwa ni maandalizi ya kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025.Kabla ya kuanza kwa mafunzo hayo, washiriki wote wameapishwa rasmi na Mheshimiwa Frederick U. Shayo kutoka Mahakama ya Wilaya ya Kibaha, ikiwa ni hatua muhimu ya kisheria kabla ya kushiriki katika zoezi hilo nyeti la kitaifa.

Akizindua mafunzo hayo, Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Kibaha Mjini, Bi. Theresia Kyara, aliwataka washiriki kusikiliza kwa makini na kushiriki kikamilifu. Alisisitiza kuwa lengo kuu la mafunzo haya ni kuwajengea uwezo na uelewa wa kina kuhusu majukumu yao ili kuhakikisha uchaguzi wa mwaka 2025 unafanyika kwa ufanisi, uwazi na haki."Ni muhimu msikie kwa makini, mzingatie katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, sheria na miongozo ya Tume Huru ya Uchaguzi katika utekelezaji wa majukumu yenu," alieleza Bi. Kyara.

Mafunzo haya ya siku tatu yanatarajiwa kufanyika kuanzia tarehe 4 hadi 6 Agosti 2025, na yanajumuisha mada mbalimbali na amewataka  kuzingatia Katiba , Sheria,Kanuni na miogozo ya Tume huru ya taifa ya uchaguzi.Uchaguzi Mkuu wa Kumchagu Rais, Wabunge na Madiwani utafanyika tarehe 29/10/2025 na kauli Mbiu ni " Kura yako Hakika yako
Jitokeze kupiga kura

Matangazo

  • DIRA YA TAIFA YA MAENDELEO MWAKA -2050 July 17, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUND VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 02, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -MSAIDIZI KUMBUKUMBU II October 06, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Mkurugenzi Manispaa Kibaha aungana na wanamichezo jijini Tanga

    August 24, 2025
  • Timu ya Soka Manispaa ya Kibaha yaitandika Bila huruma Manyoni Dc

    August 18, 2025
  • CRDB Bank Yatoa msaada wa madawati 30 Viziwaziwa Sekondari, Kibaha Manispaa

    August 14, 2025
  • Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha yatoa mafunzo ya Utekelezaji wa Sera ya Elimu ya Elimu na mafunzo ya mwaka 2014 toleo la mwaka2023

    August 13, 2025
  • Tazama Zote

Video

Hospitali ya rufaa Pwani
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa