• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Afanya ziara ya siku moja Manispaa ya Kibaha apongeza Utendaji kazi.

Posted on: August 12th, 2025


Kibaha, Pwani – Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani, Bi. Pili Mnyema, tarehe 12 Agosti 2025, amefanya ziara ya siku moja ya kikazi katika Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha, yenye lengo la  ukaguzi wa miradi ya maendeleo katika Halmashauri na kusikiliza na kutatua Kero za watumishi.


Akiwa katika ziara hiyo, Bi. Mnyema amekutana na kufanya kikao kazi na watumishi wa Manispaa ya Kibaha ambapo amesisitiza umuhimu wa ubunifu katika utekelezaji wa miradi ya maendeleo Kwa kusimamia vizuri na kuongeza mapato ya Halmashauri.

"Naomba tumuunge mkono Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kubuni vyanzo vipya vya mapato. Hili ni moja ya maagizo niliyopatiwa na Serikali Kuu ili kusaidia kuinua uchumi wa Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha ," amesema Bi. Mnyema.


Aidha, Katibu Tawala huyo amempongeza Mkurugenzi wa Manispaa ya Kibaha, Dkt. Rogers Shemwelekwa, kwa ubunifu na usimamizi mzuri wa miradi ya maendeleo ambayo umechangia kuongezeka kwa mapato ya Manispaa hiyo mwaka hadi mwaka.


Katika hotuba yake kwa watumishi, amesisitiza umuhimu wa kuzingatia maadili ya utumishi wa umma kwa kuwa na nidhamu, uadilifu, uwajibikaji na bidii katika kutoa huduma bora kwa wananchi. Pia amekemea matumizi mabaya ya fedha za umma na kusisitiza uaminifu katika usimamizi wa rasilimali.


Katika ukaguzi wa miradi Bi. Mnyema ametembelea na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo ikiwemo ujenzi wa Shule ya Awali na Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Mwalimu Nyerere iliyopo Kata ya Sofu, pamoja na mradi wa maduka ya biashara ya Kibaha Shopping Mall.




Matangazo

  • Tangazo la kuitwa kwenye Usajili wa waombaji nafasi ya muda usimamizi wa Uchaguzi Mkuu 2025 October 08, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUND VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 02, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -MSAIDIZI KUMBUKUMBU II October 06, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Heri ya siku ya Nyerere

    October 14, 2025
  • Jeshi la zimamoto na Uokoaji laadhimisha siku ya kupunguza majanga Kwa kufanya shughuli mbalimbali

    October 13, 2025
  • TSH milioni 420 ya mapato ya ndani kutengeneza Barabara za mitaa, Wananchi wapongeza

    October 03, 2025
  • Rc pwani aitaka Taasisi ya Elimu ya watu wazima kuleta matokeo chanya Sasa.

    October 02, 2025
  • Tazama Zote

Video

Matangazo Mubashara Hafla ya Utiaji Saini mikataba ya Soko la Mnarani na miundombinu ya Barabara
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa