Hatimaye leo Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii Prof. Adolf Mkenda ametembelea banda la Halmashauri ya Mji Kibaha katika maonesho ya nanenane ya kanda ya Mashariki Mjini Morogoro na ameonesha kufurahishwa na uwepo wa bidhaa tofauti tofauti zenye ubora.
Haki Zote Zimahifadhiwa