ospitali ya Mji Kibaha imeadhimisha miaka mitano tangu kuanzishwa kwake kwa kufanya matembezi ya hiari kuanzia Sheli ya Picha hadi hospitalini tarehe 27 Juni 2025 kuanzia saa 12:30 asubuhi. Maadhimisho yalihusisha wananchi, watumishi wa afya na viongozi mbalimbali. Kulikuwepo na huduma za afya bure, salamu za pongezi kutoka kwa viongozi, pamoja na michezo mbalimbali kama mpira wa miguu, netiboli na burudani za muziki kwa ajili ya kuhamasisha afya na mshikamano wa kijamii.
Haki Zote Zimahifadhiwa