• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MIRADI YA BILIONI 2.06 YAKAGULIWA ROBO YA KWANZA JULAI-SEPTEMBA

Posted on: November 14th, 2022

Na Byarugaba Innocent,Kibaha

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Mhandisi Mshamu Munde amewaongoza wataalam kutembelea Miradi inayoendelea kutekelezwa katika kipindi cha robo ya kwanza ya Mwaka wa fedha 2022/2023 Julai-Septemba ili kuchagiza kasi ya ukamilishaji kwa mujibu wa muda uliopangwa.

Mkuu wa Idara ya  Mipango na Uratibu wa Halmashauri ya Kibaha Wambura Yamo amebainisha thamani ya  miradi hiyo kuwa ni Bilioni 2.06 inayojumuisha ujenzi wa  Wodi  za Wagonjwa,jengo maalum la Upasuaji na jengo la kuhifadhia maiti kwenye hospitali ya Wilaya Lulanzi pamoja na vyumba vya Madarasa 38.

Wambura amewataka wasimamizi wa Miradi yote kuhakikisha inakwisha kwa wakati na kwamba huu si wakati wa kutoa visingizio kwani majengo hayo yanatakiwa kutumika kutolea huduma kwa wananchi.

Mapema wiki hii wakati wa Mkutano wa Baraza la Madiwani robo ya  kwanza, Diwani wa Kata ya Picha ya Ndege Mhe.Karim Mtambo amehoji  kutokamilika kwa wakati ujenzi unaoendelea kwenye hospitali ya Wilaya Lulanzi ambapo alielezwa kuwa fedha zipo na ujenzi utaendelea kwa Kasi baada ya taratibu za manunuzi kukamilika

Mkurugenzi wa  Halmashauri ya Mji Kibaha Mhandisi Mshamu Munde ametoa rai kwa wakandarasi na wote wanaohusika na utekelezaji wa Miradi hiyo kuitekeleza kwa viwango vinavyoendana na thamani halisi ya fedha inayotumika na ikamilike kwa wakati ili ianze kutumika kutolea huduma

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Kibaha ameishukuru Serikali inayoongozwa na  Mhe.Samia Suluhu Hassan Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuidhinisha fedha za ujenzi wa miundombinu hiyo muhimu kwa wananchi

Matangazo

  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KIBAHA TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • TANGAZO LA MNADA WA NG'OMBE KWA WAFANYA BIASHARA WA NYAMA NA NG'OMBE ,MTAA WA MTAKUJA KATA YA PANGANI, UNAOFANYIKA KILA ALHAMISI. March 13, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUND VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • KIBAHA MANISPAA YANG'ARA UKUSANYAJI WA MAPATO

    April 30, 2025
  • DKT.SHEMWELEKWA ATETA NA WAMILIKI WA VITUO VYA MAFUTA KIBAHA Na.Byarugaba Innocent, Kibaha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Dkt.Rogers Jacob Shemwelekwa amekutana na Wamiliki na Wafanyabiashara ya mafuta kuwakumbusha kuwa wazalendo kwa Taifa,kufa

    November 22, 2024
  • DKT.SHEMWELEKWA ATETA NA WAMILIKI WA VITUO VYA MAFUTA KIBAHA Na.Byarugaba Innocent, Kibaha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Dkt.Rogers Jacob Shemwelekwa amekutana na Wamiliki na Wafanyabiashara ya mafuta kuwakumbusha kuwa wazalendo kwa Taifa,kufa

    November 22, 2024
  • MHE.NDOMBA AZINDUA GARI MPYA AINA YA LANDCRUSER ILIYONUNULIWA KWA MAPATO YA NDANI

    November 21, 2024
  • Tazama Zote

Video

Mh. Waziri Mkuu akiwa ziarani Kibaha
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa