• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

MKURABITA KUJENGA KITUO JUMUISHI CHA URASIMISHAJI NA UENDELEZAJI BIASHARA KIBAHA

Posted on: December 20th, 2022

Na Byarugaba Innocent,Kibaha

Halmashauribl ya Mji Kibaha inatarajia kufungua kituo jumuishi cha urasimishaji

 na undelezaji biashara  (One Stop Centre) Januari mwakani,2023 ili kuwarahisishia wajasiriamali kurasimisha biashara zao.

Hayo ameeleza Kaimu Mkuu wa Idara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji wa Halmashauri ya Mji Kibaha Adolf Msangi wakati wa mafunzo ya namna ya uboreshaji wa biashara ili ziweze kurasimishwa na kukidhi vigezo vya ushindani wa biashara kwenye soko yaliyofanyika kwenye Ukumbi Mkubwa  wa Ofisi ya Mkurugenzi ambapo zaidi ya wadau  wafanyabiashara 300 wameshiriki

Msangi alisema kuwa kituo hicho cha huduma za pamoja kitakuwa na Taasisi wezeshi zote ambazo zinahusika katika kurasimisha biashara ili kuwaondolea usumbufu wafanyabiashara kusajili biashara zao.

"Kituo hichi kwa sasa kiko hatua za mwisho ambapo ni hatua ya manunuzi na Januari mwakani kituo kitaanza kazi na kitawarahisishia wajasiriamali badala ya kwenda ofisi sehemu tofauti watakuwa wanakwenda sehemu moja na kumaliza usajili sehemu moja,"alisema Msangi.

Alisema kuwa kituo hicho kitakuwa na Taasisi zikiwemo Tra, mabenki, Osha, bima, Latra na Taasisi zinazohusika na masuala ya biashara na usimamizi zote zikiwa kwenye jengo moja.

Aidha alisema kuwa Halmashauri imetoa sehemu ya jengo lake kwa ajili kuanzishwa kituo hicho ambapo Halmashauri ya Mji Kibaha inaongoza kwa kuwa na viwanda vingi Mkoani Pwani.

Kwa upande wake ofisa utawala kutoka MKURABITA Joseph Temanya alisema kuwa lengo la kuwarasimisha wafanyabiashara wadogo ni kuweza kufikia fursa mbalimbali.

Temanya alisema kuwa fursa zilizopo ni pamoja na za mikopo, ujuzi wa uendeshaji biashara na fursa mbalimbali za masoko na uboreshaji bidhaa na biashara zao.

Naye Mwenyekiti wa Wamachinga Mkoa wa Pwani Philemon Maliga alisema kuwa kurasimishwa kwa biashara zao kutawasaidia kutambulika na kuweza kukopesheka na kuwa na maeneo rasmi kwa ajili ya biashara zao.

Maliga alisema kuwa kuanzishwa kwa kituo hicho itakuwa imewarahisishia kurasimisha biashara zao na kupata usajili kwa urahisi kwani zamani walikuwa wanapata usumbufu kuzunguka sehemu mbalimbali kwa ajili ya urasimishaji biashara.

Matangazo

  • TANGAZO LA MAFUNZO YA FURSA MBALIMBALI ZA MAENDELEO December 13, 2022
  • MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUFANYA KAZI YA SENSA YA WATU NA MAKAZI 2022 July 27, 2022
  • KUAHIRISHWA KWA MAFUNZO YA SENSA July 28, 2022
  • HALI YA MAKUSANYO YA HALMASHAURI KWA MIAKA KUMI MFULULIZO KUANZIA 2012-2022 August 05, 2022
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • BARAZA LA BIASHARA KIBAHA LAONYESHA MWANGA WA MAFANIKIO

    January 20, 2023
  • MWAKA 2022 UNAISHA: MIAKA 61 YA UHURU WA TANZANIA NA MAENDELEO MAKUBWA YA KISEKTA KIBAHA

    December 23, 2022
  • KIBAHA MJI YAKAMILISHA UJENZI WA VYUMBA 38 VYA MADARASA KWA KISHINDO

    December 23, 2022
  • MKURABITA KUJENGA KITUO JUMUISHI CHA URASIMISHAJI NA UENDELEZAJI BIASHARA KIBAHA

    December 20, 2022
  • Tazama Zote

Video

Mh. Waziri Mkuu akiwa ziarani Kibaha
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa