Rais Dkt Samia Suluhu Hassan Azindua Rasmi Bandari kavu ya Kwala
Posted on: July 31st, 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akivuta kitambaa kuashiria uzinduzi wa Bandari kavu ya Kwala (Kwala Dry Port) iliyopo Kwala, Kibaha vijijini mkoani Pwani tarehe 31 Julai, 2025.