• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

SHULE MPYA 234 ZA MRADI WA SEQUIP KUPATA VIFAA VYA MAABARA

Posted on: April 17th, 2023

OR - TAMISEMI

Mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari (SEQUIP)  umeomba kuidhinishiwa  tsh. bilioni 25.34 kwa ajili ya kukunua vifaa vya maabara kwa shule mpya 234 za kata  na kuendelea  na utekelezaji wa uboreshaji wa Elimu ya Sekondari na shughuli nyengine.

Hayo ameyasema Mhe. Kairuki   tarehe 14 Aprili, 2024  Jijini Dodoma  wakati  akiwasilisha hotuba ya  makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais - TAMISEMI kwa mwaka wa fedha 2023/24.

Amefafanua  fedha hizo zilizoombwa kuidhinishiwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na kununua vifaa vya maabara na kemikali kwa ajili ya shule mpya  234 za Sekondari za Kata zinazojengwa katika Halmashauri.

Waziri Kairuki  ameongezea kwa sema  fedha hizo pia zimepangwa kununua vifaa vya TEHAMA kwa ajili ya shule 1,000 za sekondari za kata kwa ajili ya kuboresha ufundishaji na ujifunzaji, kufanya ufuatiliaji na tathmini ya utekelezaji wa mradi katika maeneo ya ujenzi wa shule mpya za sekondari, kuwezesha utendaji kazi wa Ofisi ya Rais –TAMISEMI katika utekelezaji wa mradi wa kuboresha Elimu ya Sekondari.

Pia,  kuwezesha utangazaji wa shughuli zinazotekelezwa na Mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari (SEQUIP) kwa wananchi ili waweze kufahamu jitihada zinazofanywa na Serikali katika kuboresha elimu ya sekondari nchini na kuwezesha kuwajengea uwezo watumishi 68 wa Idara ya Usimamizi wa Elimu katika masuala yahusuyo ufuatiliaji na Tathmini ya utekelezaji wa Mradi wa Kuboresha Elimu ya Sekondari (SEQUIP).

Aidha, Mheshimiwa Kairuki baada ya  kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais - TAMISEMI kwa mwaka wa fedha 2023/24 ameliomba Bunge kuridhia kuidhinishiwa sh. trilioni. 9.1 kwa ajili ya utekelezaji wa shughuli za Ofisi ya Rais – TAMISEMI.

Matangazo

  • TERMS OF REFERENCE FOR THE PROVISION OF CONSTRUCTION SUPERVISION CONSULTANCY SERVICES FOR URBAN INFRASTRUCTURE DEVELOPMENT IN KIBAHA TOWN UNDER THE TACTIC PROJECT March 09, 2025
  • TANGAZO LA MNADA WA NG'OMBE KWA WAFANYA BIASHARA WA NYAMA NA NG'OMBE ,MTAA WA MTAKUJA KATA YA PANGANI, UNAOFANYIKA KILA ALHAMISI. March 13, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUND VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 02, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • KIBAHA MANISPAA YANG'ARA UKUSANYAJI WA MAPATO

    April 30, 2025
  • DKT.SHEMWELEKWA ATETA NA WAMILIKI WA VITUO VYA MAFUTA KIBAHA Na.Byarugaba Innocent, Kibaha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Dkt.Rogers Jacob Shemwelekwa amekutana na Wamiliki na Wafanyabiashara ya mafuta kuwakumbusha kuwa wazalendo kwa Taifa,kufa

    November 22, 2024
  • DKT.SHEMWELEKWA ATETA NA WAMILIKI WA VITUO VYA MAFUTA KIBAHA Na.Byarugaba Innocent, Kibaha Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Kibaha Dkt.Rogers Jacob Shemwelekwa amekutana na Wamiliki na Wafanyabiashara ya mafuta kuwakumbusha kuwa wazalendo kwa Taifa,kufa

    November 22, 2024
  • MHE.NDOMBA AZINDUA GARI MPYA AINA YA LANDCRUSER ILIYONUNULIWA KWA MAPATO YA NDANI

    November 21, 2024
  • Tazama Zote

Video

Mh. Waziri Mkuu akiwa ziarani Kibaha
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa