Mkurugenzi wa Manspaa ya Kibaha anasikitika kutangaza kifo Cha mtumishi Mwanaidi suleiman aliyekuwa Mtendaji wa Mtaa Mbwate, kilichotokea Hospitali ya Tumbi alfajiri ya tarehe 17.07.2025 . Mipango ya mazishi inaendelea kuratibiwa.
Innalillah Wainaillaih Raji'un
Haki Zote Zimahifadhiwa