• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • MMM |
    • Barua pepe |
Kibaha Town Council
Kibaha Town Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Kibaha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dhamira na Dira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Kiutawala
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Usimamizi
      • Afya
      • Fedha na Biashara
      • Elimu ya Msingi
      • Elimu ya Sekondari
      • Maji
      • Kilimo, Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Ardhi na Mipango Miji
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii, Jinsia na Watoto
      • Ujenzi
      • Mazingira na Usafishaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Mkaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha TEHAMA na Uhusiano
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Nyuki
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Kitalii
    • Kilimo
    • Mifugo
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha na Utawala
      • Mazingira na Mipango Miji
      • UKIMWI
      • Maadili
      • Ustawi wa Jamii
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Kuonana na Mwenyekiti wa Halmashauri
  • Miradi
    • Miradi itakayotekelezwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Mkataba wa Huduma kwa Wateja
    • Mpango Mkakati
    • Taarifa
    • Fomu
    • Miongozo
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Viombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha

TIMU YA UKUSANYAJI MAPATO KUTOKA HALMASHAURI YA MANISPAA YA KIBAHA YAFANYA ZIARA YA MAFUNZO JIJINI ARUSHA

Posted on: July 4th, 2025

Timu ya Ukusanyaji Mapato kutoka Kibaha Yafanya Ziara ya Mafunzo Jijini Arusha


Arusha, 04 Julai 2025 – Timu ya ukusanyaji mapato ya Halmashauri ya Manispaa ya Kibaha ikiongozwa na Afisa Mapato wa Manispaa hiyo, leo imefanya ziara ya kikazi katika Jiji la Arusha kwa lengo la kujifunza na kubadilishana uzoefu juu ya mbinu mbalimbali za ukusanyaji wa mapato.


Ziara hiyo inalenga kuimarisha uwezo wa timu hiyo katika kutambua na kutumia vyanzo mbalimbali vya mapato, ili kuongeza ufanisi wa mapato ya ndani ya Halmashauri ya Kibaha. Mafunzo hayo yalifanyika katika Ukumbi wa Halmashauri ya Jiji la Arusha ambapo wataalamu kutoka Jiji hilo walitoa elimu juu ya mifumo bora ya ukusanyaji wa mapato, matumizi ya TEHAMA katika ufuatiliaji wa vyanzo, pamoja na mikakati ya kudhibiti mianya ya upotevu wa mapato.


Katika picha, timu hiyo ya Kibaha inaonekana ikifuatilia kwa makini mafunzo hayo ambayo yanatarajiwa kuongeza tija na ufanisi wa utendaji kazi wao.


Mara baada ya mafunzo hayo, timu hiyo inatarajiwa kutembelea vivutio mbalimbali vya mbuga za wanyama vilivyopo mkoani Arusha kama sehemu ya kujifunza na kupata uzoefu wa namna sekta ya utalii inavyoweza kuwa chanzo cha mapato kwa halmashauri.

Matangazo

  • INEC yahimiza Wananchi mikoa 16 kujitokeza uboreshaji Daftari awamu ya pili May 14, 2025
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 01, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUND VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU October 02, 2024
  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI -MSAIDIZI KUMBUKUMBU II October 06, 2024
  • Tazama Zote

Habari Mpya

  • Waganga wakuu Tanzania wamtunuku Rais Samia Suluhu Hassan Tuzo, Dkt Mpango atoa maagizo.

    July 12, 2025
  • Wananchi Manspaa ya Kibaha kunufaika na Huduma Bora, baada ya mji kupandishwa hadhi ya kuwa manspaa

    July 12, 2025
  • Mkurugenzi Manspaa ya Kibaha Dkt Rogers Shemwelekwa awataka Wananchi kuchangamkia fursa za kibiashara Manspaa ya Kibaha

    July 10, 2025
  • WATENDAJI wa Kata Manspaa ya Kibaha watembelea Halmashauri ya Mji Tunduma

    July 09, 2025
  • Tazama Zote

Video

Watendaji wa Kata Manspaa ya Kibaha waibua mazito mafunzo mbeya
Picha za Kutembea

Kiungo cha Haraka

  • Sheria Ndogo(Ushuru wa magari ya abiria na mizigo)
  • Barua Pepe
  • Uujazi wa Viwanja
  • Muundo Wa Kiuongozi Halmashauri
  • Dira na Dhamira ya Halmashauri

Kiungo Kinachohusiana

  • Mkoa wa Pwani
  • Sekretarieti ya Ajira
  • Ofisi ya Raisi, Tawala za Serikali za Mikoa na Mitaa
  • Utumishi
  • Utumishi Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

Free Visitor&Stat Counter

Ramani Ilipo

Wasiliana Nasi

Other Contacts

   

    • Sera za Siri
    • Disclamer
    • MMM
    • Sitemap
    • Huduma

Haki Zote Zimahifadhiwa