SHULE YA SEKONDARI KIDIMU UJENZI WA VYUMBA VITANO VYA MADARASA VYENYE GHARAMA YA TSH MILIONI 100 HATUA ILIYOFIKIA NI KUPAUA
SHULE YA SEKONDARI BUNDIKANI UJENZI WA VYUMBA VITATU VYA MADARASA VYENYE GHARAMA YA TSH MILIONI 60 HATUA ILIYOFIKIA NI KUPAUA
SHULE YA SEKONDARI VISIGA UJENZI WA VYUMBA VINNE VYA MADARASA MANNE WENYE THAMANI YA TSHS MILIONI 80
SHULE YA SEKONDARI ZOGOWALE UJENZI WA VYUMBA VITATU VYA MADARASA WENYE THAMANI YA TSHS MILIONI 60
SHULE YA SEKONDARI MBWAWA UJENZI WA VYUMBA VIWILI VYA MADARASA VYENYE THAMANI YA TSHS MILIONI 40
SHULE YA SEKONDARI MIEMBESABA UJENZI WA VYUMBA VITATU VYA MADARASA WENYE THAMANI YA TSHS MILIONI 60
SHULE YA SEKONDARI MSANGANI GOVERNMENT UJENZI WA VYUMBA VITATU VYA MADARASA WENYE THAMANI YA TSHS MILIONI 60
SHULE YA SEKONDARI MWAMBISI FOREST UJENZI WA VYUMBA VINNE VYA MADARASA WENYE THAMANI YA TSHS MILIONI 80
SHULE YA SEKONDARI PANGANI UJENZI WA VYUMBA VINNE VYA MADARASA WENYE THAMANI YA TSHS MILIONI 80
SHULE YA SEKONDARI PICHA YA NDEGE UJENZI WA VYUMBA VINNE VYA MADARASA WENYE THAMANI YA TSHS MILIONI 80
SHULE YA SEKONDARI SIMBANI UJENZI WA VYUMBA VINNE VYA MADARASA WENYE THAMANI YA TSHS MILIONI 80
SHULE YA SEKONDARI TUMBI UJENZI WA VYUMBA VIWILI VYA MADARASA WENYE THAMANI YA TSHS MILIONI 40
SHULE YA SEKONDARI YA WASICHANA KIBAHA UJENZI WA VYUMBA VIWILI VYA MADARASA WENYE THAMANI YA TSHS MILIONI 40
Haki Zote Zimahifadhiwa