Posted on: July 29th, 2019
Miradi yote iliyopitiwa na Mwenge wa Uhuru Kibaha Mji leo tarehe 29/07/2019 yenye thamani ya Tshs. billion 2.464 imeonekana kukidhi vigezo hivyo basi mradi mmoja umezinduliwa, mmoja umefunguliwa...
Posted on: July 1st, 2019
Katika maandalizi ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019, Halmashauri ya Mji Kibaha pamoja na mambo mengine imetoa elimu ya Uchaguzi kwa Wadau wa Uchaguzi pamoja wananchi kwa ujumla wake.
Leng...
Posted on: April 9th, 2019
Afisa Elimu(S) Kibaha Mji Bi.Rosemary Msasi akikabidhi tuzo ya ufanisi katika matokeo ya Mtihani ya kidato cha nne na cha pili mwaka 2018 kwa Mwenyekiti wa kikao cha wataalam ambaye ni Mkurugenzi...